Hali ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuberi ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa matibabu inaendelea vizuri.
Ofisa Uhusiano wa MNH, Neema Mwangomo jana alisema mufti amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na alifikishwa Hospitalini hapo juzi.
Ofisa Uhusiano wa MNH, Neema Mwangomo jana alisema mufti amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na alifikishwa Hospitalini hapo juzi.
Jana, viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walimtembelea kumjulia hali Mufti Zeburi
Pia,baadhi ya waumini wa Kiislamu jana mchana walionekana nje ya jengo hilo wakitaka kufahamu maendeleo ya afya ya kiongozi wao huyo.