Home » , » Zari The Lady Boss Awakosha Mashabiki wa Penzi lake na Diamond Kwa Picha Hizi

Zari The Lady Boss Awakosha Mashabiki wa Penzi lake na Diamond Kwa Picha Hizi

Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake akiwa kijijini kwao pamoja na watoto wake na kuonekana anafanya kazi zote zan nyumbani kitendo ambacho kimewafanya mashabiki kumwagia sifa kuwa ni mwanamke anayeyaweza maisha yote tofauti na wengi walivyokuwa wakimfikiria hapo zamani.
Katika kunogesha Zari ame-edit picha ya diamond na kujiweka , kisha kaiweka na kuandika;

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz