Home » , » Beef Jipya....Mr Blue Aibuka na Kudai Mwanamuziki Diamond Amemuibia Jina la Simba Analotumia Kwa Sasa

Beef Jipya....Mr Blue Aibuka na Kudai Mwanamuziki Diamond Amemuibia Jina la Simba Analotumia Kwa Sasa

Mr Blue anadai chake.. kwa mujibu wa Kabayser, jina ‘Simba’ analotumia Diamond sasa kwenye post zake kwenye mitandao ya kijamii alilianzisha yeye wiki kadhaa zililopita baada ya kupewa na mashabiki wake.

Naikumbuka hii post niliipost miezi saba iliyopita pale watu waliponiita jina la simba…ila inanishangaza kuona baada ya muda watu wengi wakijiita jina hili …hiii inanionesha kuwa mi ni mbunifu wa hali ya juu..na watu husubiri mimi nifanye ili waige….#mfanowakuigwa$,” Blue ameandika kwenye Instagram.

Cha kufurahisha zaidi mashabiki wanadai picha aliyopost Blue haikuwa ya Simba bali ni Tiger!!

Unayaonaje madai ya Blue?
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz