Dina Marios Aliyekiwa Mtangazaji wa Kipindi cha Leo Tena Clouds FM Amepost Picha Akiwa Redio za EFM ikiwa na Maana tayari Ameshahama Redio Clouds Ambayo kwa sababu wanazozijua wao walimweka Bench kwa Muda Mrefu Kiasi cha Mwenyewe Kulalamika Kitendo hicho...
Dina Marios Ameandika Haya Katika Ukurasa wake wa Facebook na Kuambatanisha na Hiyo Picha Hapo Juu:
"I believe if you keep your faith, you keep your trust, you keep the right attitude, if you’re grateful, you’ll see God open up new doors.”
– Joel Osteen
Home »
» Baada ya Clouds FM Kumzengua Mtangazaji Maarufu Dina Marios, Sasa Ajiunga na Redio Pinzani EFM...
Baada ya Clouds FM Kumzengua Mtangazaji Maarufu Dina Marios, Sasa Ajiunga na Redio Pinzani EFM...
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website