Home » » MKE WANGU HUPENDA KUVAA MAVAZI YA NUSU UCHI ANAPOKUA MITAANI....

MKE WANGU HUPENDA KUVAA MAVAZI YA NUSU UCHI ANAPOKUA MITAANI....

Mimi ni kijana wa miaka 28, nimebahatika kuwa na mke pamoja na mtoto 1. Tangu nimuoe mke wangu ni takriban miaka 3 sasa, tatizo ni kwamba mke wangu hupenda kuvaa nguo za nusu uchi pindi anapokua mitaani...nimejaribu kuongea nae zaida ya mara tano bila mafanikio...Sijatambua tatizo ni nin? ukizingatia tabia hii hakuanayo hapo nyuma (miaka miwili iliyopita).....naombeni ushauri ndugu zangu!
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz