Home » » MANENO YA RECHO KWAMBA ''NATAFUTA MWANAUME WA KUNIRIDHISHA KIMAHABA'' YAWA GUMZO HUKO MOMBASA..

MANENO YA RECHO KWAMBA ''NATAFUTA MWANAUME WA KUNIRIDHISHA KIMAHABA'' YAWA GUMZO HUKO MOMBASA..


Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasanii wenzie wa Kigoma All-stars waliokuwa kwenye show mjini Mombasa, Kenya wiki iliyopita kwa kuongea mbele ya waandishi wa habari kwamba anatafuta mwanaume wa kumridhisha kimapenzi.

 Akizungumza na Bongo5 leo, Recho amesema ni kawaida yake kusema hivyo katika show nyingi ambazo amekuwa akizifanya kama njia ya kucheza na akili za mashabiki wake.
“Binafsi yangu nipo na mchumba, anajuaga kama naongea hivyo kwaHiyo sio kitu cha ajabu ambacho kikawafanya watu wanifikirie vibaya. Kwani kuna ubaya gani nikasema natafuta mtu wakuniridhisha,naona hakuna ubaya,sijaongea lugha mbaya ya matusi ni kitu cha kawaida kwa fans wangu,” alisema Recho.

Habari hiyo iliandikwa kwenye mtandao wa Standard Digital News wa Kenya ikiwa na kichwa cha habari kisemacho; Tanzanian superstar begs for ‘sexual satisfaction’
Tanzanian musician shocked journalists when she screamed to the cameras that she needed to be ‘sexually satisfied’. Recho, who was talking to reporters after the Kigoma All-stars concert in Mombasa, said that she wanted a man to ‘end the night with.’ 
Disappointed that her wish did not come true, the musician, famous for her song Upepo, told reporters and anyone who cared to listen that they ‘couldn’t handle a woman’. 
Recho was not the only disappointed musician that night as her Tanzanian counterpart Maunda was spotted backstage crying after being booed offstage by the crowd.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz