Home » » HIVI NDIVYO HALI ILIVYO HUKO MTO WAMI, BAADA YA MALORI MAWILI KUGONGANA NA KUZIBA BARABARA....

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO HUKO MTO WAMI, BAADA YA MALORI MAWILI KUGONGANA NA KUZIBA BARABARA....


Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami.  Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjaro.Ajali mbaya imetokea muda huu eneo la mto Wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo.
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz