Home » » HII NDIO AIBU YA KUFUMAINWA NA WAKE ZA WATU... CHEKI KILICHOMKUTA HUYU JAMAA..

HII NDIO AIBU YA KUFUMAINWA NA WAKE ZA WATU... CHEKI KILICHOMKUTA HUYU JAMAA..

Adhabu ya kutembeza watu uchi huko Nigeria imekuwa ndio adhabu ya kawaida kwa watu wanaofumaniwa, baadhi ya watu wakifumaniwa huvuliwa nguo zote na kutembezwa uchi mtaani ili iwe fundisho kwa wengine.

wazee hawa wawili walinaswa wakivunja amri ya sita kichakani huku ikisemekana kua wote wawili na ''watu na ndoa zao'' baada ya kukamatwa kilichofuata ni kuvuliwa nguo zote na kutembezwa kijijini hapo mchana kweupee na kisha kupelekwa mbele ya nyumba ya kiongozi wa kijiji na kuekwa chini wakiwa uchi...!!
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz