Home » , » PICHA ZA KIMAHABA KATI YA ''WASTARA'' NA ''BONDI'' ZALETA UTATA..

PICHA ZA KIMAHABA KATI YA ''WASTARA'' NA ''BONDI'' ZALETA UTATA..

PICHA za aliyekuwa mke wa marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ Wastara Juma akiwa na mwigizaji Bondi bin Salim ‘Bond’ zimekua gumzo mitandaoni kiasi kwamba wengine wanasema zinakazia ukweli wa taarifa ya kuwa wawili hao ni wapenzi.

Mambo ndio kama unavyo yaona hapo pichani.....
 
“Wastara amekuwa akimkana Bond kuwa si mpenzi wake ila ni kaka yake sasa hebu tazama picha zao mpya, hata mtoto mdogo humdanganyi kitu,” kilisema chanzo chetu huku wawili hao wakiendelea kukanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi.


Like facebook page yetu kwa taarifa zaidi;;; www.facebook.com/peruzihabari
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz