Home » , » AJALI MBAYA IMETOKEA JIONI HII KATI YA 'BODABODA' NA GARI NDOGO HUKO KURASINI JIJINI DAR

AJALI MBAYA IMETOKEA JIONI HII KATI YA 'BODABODA' NA GARI NDOGO HUKO KURASINI JIJINI DAR

Ajali ya Mwendesha pikipiki akiwa amegongwa na gari eneo la mataa ya Uhasibu, Kurasini jijini Dar, kutokea kwa ajali hiyo kulisababishwa na mwendesha pikipiki alikatisha wakati askari wa barabarani akiongoza magari yaliyokuwa yakitokea bandarini kuelekea Uwanja wa Taifa ndipo bodaboda alipokatisha na kukutana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Passo ambayo ilimgonga na kwenda kuvaa taa ya kuongozea magari.


Gari ikiwa hoi baada ya kumgonga mwendesha bodaboda.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz