Home » , » Baada ya Kampeni za Uchaguzi Kwisha Aunty Ezekiel Anunua Gari Jipya...Mwenyewe Adai Hajanunua Kwa Pesa za Uchaguzi....

Baada ya Kampeni za Uchaguzi Kwisha Aunty Ezekiel Anunua Gari Jipya...Mwenyewe Adai Hajanunua Kwa Pesa za Uchaguzi....

Mwaka 2015 unamalizika kwa Wasanii kadhaa wa bongo movie na bongo fleva wakiwemo wa zamani na wa sasa kuonyesha mali zao kama magari pamoja na nyumba wanazomiliki au wanazozijenga.

Stori hii ninayotaka kukusogezea inamuhusu Aunt Ezekiel ambae siku kadhaa zilizopita alikua kwenye headlines za  kuhusiana na kusupport majukwaa ya kisiasa.
Aunty alipost picha ya gari lake jipya kwenye instagram na kuandika kuwa gari hilo halijatokana na fedha za kampeni ya chama chochote bali amezawadiwa na mpenzi wake ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz aitwae Moze Iyobo….’

Baada ya kupost picha ya hii AUDI, Aunty aliandika >>> ‘My new bby, Thanks a million baba Cookie#kwauchaguzi mana hamchelewi, we ni zaidi ya kiboko yangu #birthdaypresent# mana hamchelewi kusema CCM #happyfamily’ 
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz